Kuimarisha Afrika kwa vifaa vyenye tija kiuzalishaji vya Nishati safi ya Jua

Simusolar inafanya biashara ziwe zenye tija kupitia mifumo nafuu ya umwagiliaji inayotumia nishati ya jua, mashine za kuchakata mazao ya kilimo na umeme usiotegemea gridi ya Taifa.

Tunaleta Mabadiliko kote Afrika

Tangu 2016, tumekua tukibadilisha maisha kupitia suluhisho la nishati endelevu ya jua.

10000+

Wakulima Wawezeshwa

Maisha yamekua mazuri kupitia matumizi ya nishati ya Jua

10000+

Ekari za umwagiliaji

Ardhi imekuwa katika uzalishaji endelevu.

98%

Mapato yameongezeka

Ongezeko la wastani katika mapato ya wakulima

10

Ofisi Mikoani

Zinatoa huduma kwa wateja nchi nzima

Suluhisho zetu za sola

Huduma kamili za nishati ya jua zilizoundwa kukidhi mahitaji yako maalum

Vuta maji kwa sola

Mifumo bora ya kusukuma maji inayotumia nishati ya jua kwa umwagiliaji, mifugo na matumizi ya nyumbani.

Badilisha Jenereta

Huduma za kiwango za matengenezo na msaada ili kuhakikisha mfumo wako ya sola unafanya kazi kwa kiwango cha juu kabisa.

Mashine za kuchakata

Kuza biashara yako kupitia suluhisho la nishati endelevu. Kupunguza gharama za uendesheaji kufikia malengo endelevu

Sola ya Biashara

Kuza biashara yako kupitia suluhisho la nishati endelevu. Kupunguza gharama za uendesheaji kufikia malengo endelevu.

kwani nini utuchague sisi

Tumejitolea kutoa huduma ya kiwango cha juu katika kila nyanja ya huduma yetu

Bidhaa zenye Ubora

Tunatumia vifaa vyenye ubora zaidi, vilivyoidhinishwa vya nishati ya jua kutoka kwa watengenezaji mahiri na dhamana za muda mrefu.

Timu ya Wataalam

Wahandisi na mafundi wetu waliothibitishwa huleta uzoefu wao wa miaka katika usakinishaji/ufungaji na matengenezo ya sola.

Huduma za baada ya Mauziano

Tunatoa usaizidizi wa kina na Huduma za mategenezo baada ya mauziano ili kuhakikisha mfumo wako unafanya kazi vizuri kwa miaka.

Njia mbalimbali za Malipo

Mipango rahisi ya malipo na chaguzi za ufadhili ili kupata matumizi ya jua na kwa bei nafuu.

Wateja Wanasema Nini Kuhusu Huduma Zetu

Sikiliza wakulima na wafanyabiashara ambao wameiamini Simusolar kwa mahitaji yao ya nishati

Inaaminika na Mashirika mahiri

Endehsa nyumba yako kwa nishati safi ya jua na ya uhakika. Upunguza bili za umeme na ufurahie upatikanaji wa umeme usio-katika katika

Mipangilio Yetu

Chunguza wilaya na vijiji mbalimbali ambapo suluhu zetu za nishati ya jua zinabadilisha maisha.

Uko tayari kutumia mfumo wa sola?

Jiunge na maelfu ya wateja walioridhika na huduma, ambao tayari wamegeukia nishati safi, ya uhakika ya jua. Pata ushauri wako leo bila malipo!